Rayvanny – Wababa (Mp3 Download, Lyrics)

Check out this lovely song “Wababa” by Rayvanny.

Award winning sensational Tanzanian Afrobeats and Afro Pop singer and songwriter, Rayvanny unleashed a brand new track titledWababa“. And you can get it right here for your easy download!

Download Wababa Mp3 by Rayvanny.

DOWNLOAD NOW

My Money

Wababa Lyrics by Rayvanny.

Wababa
Sindo Wababa
Wababa
Ila trapendwa na vidada

Soundboy

Wababa
Sindo Wababa
Wababa
Ila trapendwa na vidada
Eyoo lizer

Pesa ya kusuka…
Na simu kali
Ama unataka Duka…
Au ka gari…
Ama wapenda kuzunguka
Twende nchi za mbali…
Ila Beba mafuta
Huko kuna baridi kali…

Mtu mzima naitwa babe
Hela ina balaa hela
Mvi hazionekani
Hela ina balaa hela
Mubaba naitwa babe
Hela ina balaa hela
Uzee hauonekani
Hela ina balaa hela

Kweli nakitambi okonko je utanipa!?
Ntakupa!!!
Sura mbaya ila na hela je utanipa
Ntakupa!!!
Mi mubabab, Miaka mia saba
Ntakupa!!!
Ukiletaga, Nazivunja chaga…

  Rayvanny – Christmas (Mp3 Download, Lyrics)

Ooh, hatuongei…
Utashoboka mwenyewe…
Meza imenoga vinywaji we jisogeze ulewe…
Hatutongozi we leta namba mwenyewe…
Huduma tutazokupa wiki utaomba uolewe…

Wababa
Sindo Wababa
Wababa
Ila trapendwa na vidada

Wababa
Sindo Wababa
Wababa
Ila trapendwa na vidada

Masharobaro kazi kukipodoa hela twahonga sisi…
Ma slay queen wanatulilia ka mfupa kwa fist…
Wanapenda tiketi za Dubai na wengine Paris…
Tukiingia bar macho kodo si wanataka pipi…

Ma rang ekuhonga hatuogopi…
Aah hatuna baya
Dada kapuku anageuka boss
Aah hatuna baya
Ufanye siri siri wife mkorofi…
Piga picha mkono sura usi nipost…

Mtu mzima naitwa babe
Hela ina balaa hela
Mvi hazionekani
Hela ina balaa hela
Mubaba naitwa babe
Hela ina balaa hela
Uzee hauonekani
Hela ina balaa hela

Kweli nakitambi okonko je utanipa!?
Ntakupa!!!
Sura mbaya ila na hela je utanipa
Ntakupa!!!
Mi mubabab, Miaka mia saba
Ntakupa!!!
Ukiletaga, Nazivunja chaga…

Ooh, hatuongei…
Utashoboka mwenyewe…
Meza imenoga vinywaji we jisogeze ulewe…
Hatutongozi we leta namba mwenyewe…
Huduma tutazokupa wiki utaomba uolewe…

  Zuchu – Honey (Mp3 Download, Lyrics)

Wababa
Sindo Wababa
Wababa
Ila trapendwa na vidada

Wababa
Sindo Wababa
Wababa
Ila trapendwa na vidada

Nipe uno la wazee, lakipedeshee
Nipe uno la wazee Watoto wazuri wakushobokee
Nipe uno la wazee lakipedeshee
Nipe uno la wazee watoto wazuri tu wakushobokee

Mmmh nipe uno la wazee
Lile lakipedeshee
Yani uno la wazeee
Pisi kali tu zikushobokee

Nipe uno la wazee
Lakipedeshee
Nipe uno la wazee watoto wazuri wakushobokee.

Wababa Mp3 Download & Lyrics by Rayvanny

Leave a Comment