Paul Clement – Amefanya Mungu (Mp3 Download, Lyrics)

Gifted Tanzanian gospel music singer songwriter and Worship Leader, Paul Clement has just released an impressive new track titled “Amefanya Mungu”. And you can get it right here for your easy download!

Download Amefanya Mungu Mp3 by Paul Clement.

DOWNLOAD NOW

My Money

Video: Amefanya Mungu by Paul Clement.

Amefanya Mungu Mp3 Download & Lyrics by Paul Clement

Amefanya Mungu Lyrics by Paul Clement.

Je ni nani angeweza
Kututoa chini mavumbini
Maana kila mtu alitukataa
Ila Mungu akatukumbatia

Je ni nani angeweza
Kutuiua kutuweka juu
Maana kila mtu alitukataa
Ila Mungu akatuinua

Je ni nani angeweza
Kutupatia nafasi
Maana kila mtu alikataa
Ila Mungu akatupatia

Hakuangalia elimu zetu
Hakuangalia mionekano yetu
Aliangalia mioyo yetu
Kwake tukapata kibali

Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh)
Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh)
Haikuwa rahisi kwa akili zetu (rahisi)
Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh-eh-eh)
Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh)
Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh)
Haikuwa rahisi kwa akili zetu (rahisi)
Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh-eh-eh)

  Martha Mwaipaja – Najulikana Mbinguni (Mp3 Download, Lyrics)

Je ni nani angeweza
Kutukubali jinsi tulivyo
Maana kila mtu alitukataa
Ila Mungu akatukubali

Si elimu zetu
Si ujuzi wetu
Ila neema yake ‘metuweka hapa
Haikuwa rahisi

Eh, vile namna neema yako inafanya
Hakuna elimu inaweza fanya
Hata kama ikishindana (hata kama ikishindana)
Hata kama ikipambana (hata kama ikipambana)
Neema yako itashinda

Hakuangalia elimu zetu
Hakuangalia mionekano yetu
Aliangalia mioyo yetu
Kwake tukapata kibali

Amefanya, oh yeah (amefanya Mungu amefanya)
Amefanya, Mungu amefanya (amefanya Mungu amefanya)
Haikuwa rahisi, rahisi(haikuwa rahisi kwa akili zetu)
Amefanya Mungu (amefanya Mungu amefanya)
Amefanya (amefanya Mungu amefanya)
Ni yeye tu (amefanya Mungu amefanya)
Si mwanadamu, si mwanadamu (haikuwa rahisi kwa akili zetu)
Amefanya Mungu (amefanya Mungu amefanya)

Haikuwa rahisi oh-oh-oh-oh-oh (haikuwa rahisi kwa akili zetu)
Amefanya Mungu (amefanya Mungu amefanya)
Haikuwa rahisi eh-eh-eh oh-oh-oh (haikuwa rahisi kwa akili zetu)
Mungu amefanya (amefanya Mungu amefanya)
Mh-mh
Oh na-na
Oh la-la
Le-la
Ne-na

Leave a Comment