Msanii Music Group – Asubuhi Njema.
Msanii Music Group – Asubuhi Njema Mp3 Download
Msanii Music Group – Asubuhi Njema Lyrics
Asubui njema asubui ya furaha, tutakapovuka mto wa yorodani, tukishangilia tukiinba kwa furaha, (haleluyha haleluyha na asifiwe)*2
Churus :
Washindi watafurahi kukanyaga nchi mpya taabu zote eeeh watazisahau pale!,wakiingia mjini wataonana na yesu,atawafuta machozi kwa furaha kwa furaha*2
Tutakapofika katika mji ule, mji mtakatifu makaoni pa mungu, kitini cha enzi,aketiye baba mungu, (tutakaribishwa pamoja na mwokozi)*2
Nyimbo za furaha,tutaziimba pale, tukipongezana kupeana mikono tukitabasamu,tabasamu za hakika, (sifa na heshima zote ni kwa yehova)*2