Zoravo, the award winning Tanzanian gospel music singer and songwriter, has released a fantastic song titled “Neema Yako Yanitosha”. You can get it here for your free and fast download.
Download Neema Yako Yanitosha Mp3 by Zoravo.
Video: Neema Yako Yanitosha by Zoravo.
Neema Yako Yanitosha Lyrics by Zoravo.
Sina cha kujivunia ila neema yako
Neema yako yanitosha
Sina cha kujisifia ila neema yako
Neema yako yanitosha
Sina cha kujigamba ila neema yako
Neema yako yanitosha
Sina cha kuwaonyesha ila neema yako
Neema yako yanitosha
Sina cha kujivunia ila neema yako
Neema yako yanitosha
Sina cha kujisifia ila neema yako
Neema yako yanitosha
Sina cha kujigamba ila neema yako
Neema yako yanitosha
Sina cha kuwaonyesha ila neema yako
Neema yako yanitosha
Sina cha kujivunia ila neema yako
Neema yako yanitosha
Sina cha kujisifia ila neema yako
Neema yako yanitosha
Sina cha kujigamba ila neema yako
Neema yako yanitosha
Sina cha kuwaonyesha ila neema yako
Neema yako yanitosha
Neema yako (Neema yako yanitosha)
Nijalie unyenyekevu ee Bwana wangu
Niondolee kiburi ee Bwana wangu
Nipee moyo wa zaburi ee Bwana wangu
Niondolee mashindano ee Bwana wangu
Niumbie moyo safi ee Bwana wangu
Nikutumikie siku zote
Neema yako (Neema yako yanitosha)