Gospel Songs

Christopher Tin – Baba Yetu | The Lord’s Prayer in Swahili (Mp3, Video & Lyrics)

Checkout this powerful song by Christopher Tin titled Baba Yetu, which is simply the Lord’s Prayer in Swahili.

Download Mp3

My Money

Watch Video below and be Blessed;

Baba Yetu Lyrics by Christopher Tin

[Chorus]
Baba yetu, yetu uliye
Mbinguni yetu, yetu, amina
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe
Baba yetu, yetu uliye
Mbinguni yetu, yetu, amina
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe

[Verse]
Utupe leo chakula chetu
Tunachohitaji utusamehe
Makosa yetu, hey
Kama nasi tunavyowasamehe
Waliotukosea usitutie
Katika majaribu, lakini
Utuokoe, na yule Mwovu, milele!

[Chorus]
Baba yetu, yetu uliye
Mbinguni yetu, yetu, amina
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe
Baba yetu, yetu uliye
Mbinguni yetu, yetu, amina
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe

[Bridge]
Ufalme wako ufike utakalo
Lifanyike duniani kama mbinguni (Amina)

[Chorus]
Baba yetu, yetu uliye
Mbinguni yetu, yetu, amina
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe
Baba yetu, yetu uliye
Mbinguni yetu, yetu, amina
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe

  Don Moen - Be Glorified (Mp3 Download, Lyrics)

[Verse]
Utupe leo chakula chetu
Tunachohitaji utusamehe
Makosa yetu, hey
Kama nasi tunavyowasamehe
Waliotukosea usitutie
Katika majaribu, lakini
Utuokoe, na yule Mwovu, milele!

[Outro]
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *